Skip to main content
Skip to main content

Ulinzi mkali washuhudiwa jijini Nairobi huku kongamano la ushirikiano barani Afrika likianza

  • | KBC Video
    867 views
    Duration: 1:55
    Usalama uliimarishwa jijini Nairobi huku viongozi wa serikali na wawekezaji kutoka kote ulimwenguni wakihudhuria kongamano la ushirikiano baina ya ufaransa na bara Afrika. Kutoka angani hadi barabarani huduma za usalama ziliendelezwa ili kuhakikisha jiji la Nairobi ni shwari. Kasichana Masha ana taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive