Skip to main content
Skip to main content

Urusi yashambulia daraja muhimu Kyiv

  • | BBC Swahili
    23,573 views
    Duration: 28s
    Daraja muhimu mjini Kyiv limelipuliwa na ndege zisizo na rubani za Urusi kwa siku ya pili mfululizo, huku Moscow ikiendelea kuongeza mashambulizi dhidi ya madaraja katika mji mkuu wa Ukraine #bbcswahili #urusi #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw