Skip to main content
Skip to main content

Utafiti: Tembo hutumia mimea ya asili kujitibu wanapougua

  • | BBC Swahili
    21,365 views
    Duration: 2:19
    Utafiti mpya nchini Kenya umebaini kuwa tembo wa Afrika hutumia aina mbalimbali za mimea wanapougua, huku baadhi ya mimea hiyo ikitumika pia kama tiba za jadi na jamii za eneo hilo. Wanasayansi sasa wanachunguza tabia hizi zaidi, wakitumaini kwamba huenda zikatoa maarifa mapya kuhusu dawa zinazoweza kuwasaidia hata binadamu. #bbcswahili #Tembo #Wanyamapori Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw