Skip to main content
Skip to main content

Uzinduzi wa vyama TZ, Je, ni sera gani zinazonadiwa? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,192 views
    Duration: 28:10
    Chama cha Ukombozi wa Umma yaani CHAUMMA kimezindua rasmi kampeni zake mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam, kikiwa miongoni mwa vyama 17 vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Je, ni sera gani mpya zinazonadiwa na chama hicho? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw