Skip to main content
Skip to main content

Vichwa viwili, macho manne na mwili mmoja

  • | BBC Swahili
    12,400 views
    Duration: 26s
    Nyoka adimu mwenye vichwa viwili ameokolewa nchini India. Nyoka huyo wa kipekee alipatikana katika wilaya ya Dhanpur, Dahod, jimbo la Gujarat. Kwa mujibu wa waliomwokoa, Dahod Prakruti Mitra Mandal, kila kichwa kina mfumo wake wa neva unaofanya kazi kivyake. Inaaminika kuwa hii ni mara ya kwanza kwa nyoka mwenye vichwa viwili kuonekana katika eneo hilo. #bbcswahili #nyoka #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw