- 16,964 viewsDuration: 20sTazama jinsi waandamanaji waliokamatwa na polisi na kuwekwa ndani ya basi nchini India wakivunja madirisha ya basi hilo na kutoroka. Walikuwa wakiandamana wakitaka Kamishna Mkuu wa Uchaguzi wa India ajiuzulu wakipinga kuondolewa kwa majina ya watu kwenye orodha za awali za wapiga kura. Pia, maandamano yaliongezeka baada ya kuibuka kwa madai kwamba polisi waliwanyanyasa kingono waandishi wa habari wanawake waliokuwa wakiripoti maandamano hayo. #bbcswahili #india #uchaguziindia #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw