Skip to main content
Skip to main content

Wajumbe wa Cuba watoka ukumbini wakati Trump akihutubia UN

  • | BBC Swahili
    23,781 views
    Duration: 23s
    Wajumbe wa Cuba katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) walionekana kuinuka na kuondoka ukumbini wakati Rais wa Marekani, Donald Trump, alipoitaja Cuba kuwa ni “taifa lililoshindwa.” #bbcswahili #Cuba #UN #Trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw