Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Nanyuki waandamana kupinga karantini ya Ebola nchini

  • | NTV Video
    35,337 views
    Duration: 7:23
    Maandamano yamezuka mjini Nanyuki katika kaunti ya Laikipia asubuhi ya leo huku wakaazi wakimiminika barabarani kupinga mipango iliyopendekezwa na serikali ya kuanzisha kituo cha karantini kwa ajili ya wagonjwa wa marekani wa virusi vya Ebola . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya