Skip to main content
Skip to main content

Wakristo na Waislamu waliuawa katika shambulio la Jos, Nigeria

  • | BBC Swahili
    21,193 views
    Duration: 1:57
    Washawishi wengi kwenye mitandao ya kijamii walidai kuwa shambulio lililotokea katika mji wa Jos, Nigeria, tarehe 29 Machi lilikuwa shambulio lililowalenga Wakristo. BBC Africa Eye imefika katika mji huo na kuzungumza na mashuhuda walioshuhudia tukio hilo, ambao walielezea shambulio hilo kuwa lilitokea ghafla na lilikuwa na vurugu kubwa, ambapo Wakristo na Waislamu waliuawa. Hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulio hilo, na polisi bado hawajabaini sababu ya shambulio hilo. #bbcswahili #bbcafricaeye #nigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw