- 5,014 viewsDuration: 2:52"Nina miaka 23 na nywele zangu zinanyonyoka."Sharon Chepkoech, maarufu kama Kechi, binti anayeishi na alopecia, hali inayosababisha nywele kung’oka. Amekutana na mtangazaji wa BBC Asha Juma na amesimulia jinsi alivyoanza kupoteza nywele na maisha yake yalivyobadilika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw