Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Iran wapewa mafunzo ya kijeshi Tehran

  • | BBC Swahili
    57,542 views
    Duration: 1:24
    Wanawake wanaodaiwa kuiunga mkono serikali ya Iran wameonekana wakipewa mafunzo ya kutumia silaha katika kituo cha kijeshi mjini Tehran, wakati mvutano kati ya Iran, Marekani na Israel ukiendelea. - Mashambulizi ya Marekani na Israel ya Februari 28 yalianzisha mzozo uliodumu kwa miezi kadhaa. Makubaliano ya kusitisha mapigano ya Aprili 8 yalimaliza siku 40 za vita, ingawa mapigano ya hapa na pale yameendelea. - Vyanzo vinasema Iran ilikuwa ikijiandaa kutoa jibu kubwa na lenye nguvu zaidi iwapo Marekani ingeanzisha tena mashambulizi makubwa. - 🎥: @frankmavura #bbcswahili #iran #tehran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw