- 1,275 viewsDuration: 11:09"Ni hadithi ndefu lakini kwa ufupi inatokana na maisha ambayo nimekuwa nayo." Hivyo ndivyo Agnes Suleiman Kahamba, mwanzilishi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Tupaze Sauti, alivyoanza kusimulia kilichomsukuma kujitosa katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake, vijana na watoto. #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw