Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa 4 wamekamatwa kwa mauaji ya Sheryl mtaani Huruma

  • | Citizen TV
    13,502 views
    Duration: 3:04
    Mamlaka ya kudhibiti utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi wa mauaji ya Sheryl Achieng aliyeuawa na polisi katika mtaa wa huruma hapo jana. Haya yamejiri huku kanda za video zinazoonyesha matukio kabla ya kifo cha Sheryl akiwemo mwathiriwa wa genge lilosababisha maafisa wa polisi kuwasaka zikiibuka.