- 11,109 viewsDuration: 34:23Karibu katika Waridi wa BBC wiki hii. Kwenye makala ya leo tunamuangazia Florence Amunga ambaye ni mwathirika wa vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya. Florence Amunga nyumba yake ilichomwa moto akiwa amelala na watoto wake. Alipoteza watoto wake kwa moto huo huku yeye mwenye akipata majeraha mabaya. Asha Juma amezungumza naye #bbcswahili #waridiwabbc #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw