- 7,908 viewsDuration: 34sTazama watangazaji wakitoa taarifa ya kusikitisha kuhusu helikopta ya wanahabari iliyokuwa ikiripoti kuhusu ajali ya basi na yenyewe kupata ajali. Wakati wa matangazo ya moja kwa moja yenye hisia kali kupitia kituo cha NBC4, mtangazaji wa habari Colleen Williams alithibitisha kuwa helikopta iliyoanguka ilikuwa ya kituo hicho cha habari cha eneo hilo. #bbcswahili #ajaliyandege #nbc4 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw