Skip to main content
Skip to main content

Watu milioni 40.3 kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchi za IGAD

  • | BBC Swahili
    41,443 views
    Duration: 1:27
    Watu milioni 40.3 hatarini kukumbwa na uhaba mkubwa wa chakula Ripoti mpya ya IGAD inaonesha jinsi migogoro, hali mbaya ya hewa na changamoto za kiuchumi zinavyozidisha tatizo katika nchi sita za ukanda huo Leila Mohammed anaeleza zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw