Skip to main content
Skip to main content

Watu saba wafariki kwenye machafuko ya baada ya uchaguzi Uganda huku Museveni akiongoza

  • | Citizen TV
    19,055 views
    Duration: 2:20
    Watu saba wameripotiwa kuuwawa katika machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyoshuhudiwa katika mkoa wa kati wa Uganda. Aidha kiongozi wa upinzani Bobi Wine amedai kuzuiliwa nyumbani kwake na maafisa wa usalama huku matokeo ya uchaguzi yakionyesha rais Museveni akiongoza kwa asimia 75% ya kura zilizohesabiwa.