Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi wa India wamuokoa mtoto wa tembo aliyekuwa akizama

  • | BBC Swahili
    9,122 views
    Duration: 31s
    Wavuvi katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India wamemuokoa mtoto wa tembo aliyekuwa katika hatari ya kuzama katika Mto Teesta. Mtoto huyo wa tembo alipata matatizo wakati akivuka mto huo pamoja na kundi lake. Wavuvi hao, wanaoishi karibu na Mto Teesta, walisema walipiga makasia kwa umbali wa takriban kilomita nne kufika alipokuwa mtoto huyo wa tembo. Baada ya kumuokoa, walimkabidhi kwa maafisa wa misitu kwa ajili ya uangalizi zaidi #bbcswahili #india #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw