- 11,074 viewsDuration: 2:09Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema kuwa hatua ya kufunga mipaka sio suluhisho la kuzuia maambukizi ya Ebola. Haya yanajiri siku moja baada ya Kenya kuthibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini humo, kinachomhusisha raia aliyekuwa akiishi DRC kwa miaka 7, aliyefariki kutokana na ugonjwa huo. Mkurugenzi wa WHO, ukanda wa Afrika, Dkt. Mohamed Janabi amezungumza na mwandishi wa BBC @roncliffeodit1 kuhusu juhudi za kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huo. #bbcswahili #ebolawho #mohamedjanabi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw