- 11,143 viewsDuration: 3:28Kabla ya kuwa mmoja wa viongozi wenye nguvu zaidi duniani, Xi Jinping alikuwa afisa wa ngazi ya chini aliyewahi kwenda Marekani kujifunza kuhusu kilimo. Lakini safari yake ya kufika kileleni haikuwa rahisi. Alitoka katika familia yenye ushawishi mkubwa wa kisiasa, akapitia kipindi ambacho familia yake ilipoteza hadhi na fursa zake, kabla ya yeye kupanda ngazi na kuwa kiongozi mwenye nguvu China. - Phillys Mwatee anaelezea safari yake kwa kina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw