Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya droni 70,000 zashangaza anga la Texas

  • | BBC Swahili
    24,765 views
    Duration: 1:06
    Jumla ya droni 71,207 zilirushwa angani huko Texas kwa siku tatu katika jaribio lililoweka rekodi mpya ya dunia. Onyesho hilo lilivunja rekodi ya awali ya droni 55,939 zilizorushwa ndani ya wiki moja. Pia, droni 10,183 zilitumika kuunda picha kubwa ya kiumbe ch kufikirika angani na kuvunja rekodi ya awali ya 2,247. Rekodi hizo ziliwekwa na kampuni za Marekani Sky Elements Drone Shows na Damoda America. #bbcswahili #texas #viralvideo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw