- 1,022 viewsDuration: 3:47Waokoaji nchini Afghanistan wanatatizika kufikia vijiji vya maeneo ya mbali ya milima mashariki mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha richa cha 6.0. Watu 800 wamefariki huku 2,000 wa wakijeruhiwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw