RMS imetuzwa kwa ubunifu wa matangazo ya kidijitali kwenye tuzo za MCSK

  • | Citizen TV
    77 views

    Kampuni ya Royal Media Services ilitwajwa kuwa kampuni bora kwa ubunifu kwenye tuzo za mwaka huu za chama cha Mauzo nchini MSK. Royal Media imesifiwa na kutuzwa kwa ubunifu haswa kupitia mitandao wa Citizen Digital unaopeperusha matangazo mtandaoni. Meneja wa mipango wa RMS Shufaa Tsingwa akipokea tuzo hiyo alisema kuwa hii ni thibitisho ya ukakamavu na ubunifu wa wafanyakazi wa kampuni hii. Chama cha mauzo nchini kikisema tuzo za MSK zimeendelea kukua kila mwaka