Mashindano ya punda, mashua yaandaliwa siku ya mwisho ya sherehe za Utamaduni wa Lamu

  • | Citizen TV
    492 views

    Mamia ya mashabiki walijitokeza kushuhudia mashindano ya mbio za punda na jahazi, huku sherehe za kitamaduni za Lamu zikifikia kileleni. Ushindani mkali ukiibuka huku kila mchezaji akionyesha umahiri wake.