Meli iliyobeba mapipa milioni 1 yaokolewa baada ya kushambuliwa na Wahouthi
Meli ya mafuta ambayo ilikuwa ikiungua kwa wiki kadhaa katika Bahari ya Sham baada ya kushambuliwa na waasi wa Wahouthi wa Yemen, na kutishia kumwagika kwa mafuta imeokolewa, kampuni ya ulinzi imesema Ijumaa.
Meli hiyo Sounion ilikuwa ni maafa yanayo subiriwa kwa katika mkondo huo wa maji, huku ikiwa na mapipa milioni 1 ya mafuta ghafi ambayo ilishambuliwa na baadaye kuharibiwa kwa vilipuzi vilivyotumiwa na Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran ikiwa ni sehemu ya kampeni yao juu ya vita vya Israel na Hamas huko Ukanda wa Gaza.
Ilichukua miezi kadhaa kwa waokoaji kuweza kuivuta meli hiyo, kuzima mioto na kushusha mafuta ghafi yaliyobaki..
“Mapema Oktoba, meli hiyo ilivutwa hadi upande wa kaskazini wa mfereji wa Suez ili kupakua mizigo, ambapo hivi sasa zoezi hilo limekamilika.”
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilionya kuwa kuvuja kwa mafuta kutoka katika meli hiyo ya Sounion kungeweza kuwa “mara nne kwa ukubwa wa maafa ya Exxon Valdez” yaliyotokea mwaka 1989 nje ya pwani ya Alaska.
Hakuna maelezo yoyote ya mara moja kutoka kwa Wahouthi, ambao wamekuwa wakiushikilia mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa zaidi ya muongo mmoja na wamekuwa wakipigana na ushirika wa unaongozwa na Saudi Arabia ambao unaiunga mkono serikali iliyo uhamishoni kwa muda mrefu. - AP
#wahouthi #meli #mafuta #bahariyasham #yemen
30 Aug 2025
- Ruto hosted Infantino, who was on his first visit to Kenya, at the State House in Nairobi.
30 Aug 2025
- The move is part of government’s ongoing efforts to ensure Kenyans get back funds left inactive in banks and insurance firms.
30 Aug 2025
- Footages show the tanker in flames at a sharp bend on the highway.
30 Aug 2025
- Three men were arraigned at the Mombasa Law Courts for allegedly defiling two young boys, one of whom is reported to be mentally ill.
30 Aug 2025
- Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku says the government is working on harmonising civil servants’ salaries and embracing digital transformation, including the use of Artificial Intelligence (AI), to improve efficiency in service delivery.
30 Aug 2025
- Mombasa city has been put on the global map for road safety, winning a prestigious international award and a cash prize of $50,000 (approx. Ksh 6.5 million) for its successful efforts to reduce speeding and save lives on its roads.
30 Aug 2025
- Ruto hosted Infantino, who was on his first visit to Kenya, at the State House in Nairobi.
30 Aug 2025
- 'This is the only way we are going to transform this country. '
30 Aug 2025
- The Kenya Forest Service (KFS) has assured visitors that the transition to the government’s eCitizen platform for payments at Karura Forest will not disrupt their experience.
30 Aug 2025
- Police in Uasin Gishu County, Soy, have successfully apprehended nine persons of interest following a robbery with violence
30 Aug 2025
- The Morocco national team entered the CHAN 2024 final with its sights set on history
30 Aug 2025
- Media personality Alex Mwakideu has shared the motivation that drove him to launch his YouTube platform, where celebrities
30 Aug 2025
- The move is part of government’s ongoing efforts to ensure Kenyans get back funds left inactive in banks and insurance firms.