- 2,028 viewsKatika wiki za hivi karibuni, kikundi cha M23 kimerudi tena kwenye vichwa vya habari vya kimataifa kwa kuiteka Goma, mji muhimu upande mashariki mwa Congo. Lakini hawa ni nani (M23), na kwa nini kuibuka kwao upya kumechochea upinzani, ghasia na wasiwasi wa kimataifa? Haya ndiyo unapaswa kuyafahamu kuhusu M23, chimbuko lao, na mgogoro unaosambaa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kikundi cha waasi wa M23, au Harakati za Machi 23, zimepewa jina hilo kutokana na mkataba wa amani wa 2009 kati ya serikali ya Congo na kikundi cha waasi kinacho ongozwa na Watutsi, CNDP. Makubaliano hayo yaliahidi kuwaingiza waasi katika jeshi la taifa na ulinzi kwa jamii za Watutsi lakini halikutekelezwa kikamilifu, na kuzusha uasi wa M23 mwaka 2012. Licha ya kushindwa mwaka 2013, kikundi hicho kilirejea tena mwaka 2021, na kuchochea mgogoro huko mashariki mwa Congo. Wiki hii, M23 ilichukua udhibiti wa Goma, mji wenye watu takriban milioni 2 na kituo cha kibinadamu, ukiwemo uwanja wake wa ndege, na kukata njia muhimu za kufikisha misaada. Shambulizi hilo liliuwa watu kadhaa walioachwa mitaani, hospitali zilielemewa, na taarifa za uporaji na uvunjifu wa haki za binadamu. Maelfu wameukimbia mji huo, wakati waandamanaji mjini Kinshasa walishambulia balozi kadhaa za nchi ambazo zinazishutumu kuwa zinaisaidia M23, ikiwemo Rwanda. DRC inaishutumu Rwanda kwa kuisaidia M23 ili kunyakua utajiri wa madini yaliyoko katika kanda hiyo – madai ambayo yanakanushwa na Rwanda, licha ya ripoti za Umoja wa Mataifa kuunga mkono tuhuma za Congo. Mgogoro huo unaakisi vita kadhaa vya Congo huko nyuma, ambavyo viliuwa mamilioni na kuuyumbisha ukanda huo. Huku mivutano ikiongezeka, jumuiya ya kimataifa inahofia mgogoro huo unaweza kuongezeka kuwa vita vipana zaidi vya kanda hiyo, kuzidisha hali mbaya zaidi ya maafa ya kibinadamu na kutishia amani iliyo hatarini katika eneo la Maziwa Makuu. - VOA #voaswahili #afrika #rwanda #drc #m23 #dacs
Waasi wa M23 wanaopigana mashariki mwa Congo ni nani?
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - A 35-year-old fisherman died in a police holding cell at Kipasi Police Post in Suba North Constituency, Homa Bay County, raising fresh concerns over the security of individuals being detained in police custody. The incident comes after the controversial…
- 17 Jun 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi is in Finland for a two-day official visit to represent President William Ruto at the 13th edition of the Kultaranta talks, a high-level annual forum on emerging geopolitical dynamics, global security and…
- 17 Jun 2025 - FIFA has decided not to show any videos, signage or marketing assets in venues hosting the Club World Cup in the United States which explicitly mention challenging racism or discrimination. According to multiple sources briefed on FIFA’s planning for…
- 17 Jun 2025 - Governor Kenneth Lusaka has expressed confidence that the Western region will rally overwhelmingly behind President William Ruto in the 2027 general elections, declaring that the ‘Mulembe’ nation is now fully united in support of the Head of State.…
- 17 Jun 2025 - Embattled Kitui County Assembly Speaker Kevin Kinengo faces sanctions from the Wiper Democratic Party over his blatant declaration to work and partner with the Kenya Kwanza administration in a campaign to support President William Ruto’s re-election bid…
- 17 Jun 2025 - Five gunshots to the chest, fired in rapid succession, left no room for survival. The killers’ intention was clear: to send the 21-year-old man to an early grave. The heavily armed bandits, believed to be from Tiaty sub-county in Baringo County, made…
- 17 Jun 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has fired a rejoinder to President Ruto’s remarks that he will not relinquish power to the opposition. Gachagua said that while Ruto is talking about handing over power, the constitution stipulates the assumption…
- 17 Jun 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has arraigned the former Garissa County Government Chief Protocol Officer over claims of forging academic certificates to fraudulently secure employment and siphon millions in public funds.
- 17 Jun 2025 - Health Cabinet Secretary Aden Duale has announced sweeping reforms to overhaul Kenya’s healthcare system through the Social Health Authority (SHA), marking a decisive departure from the defunct National Health Insurance Fund (NHIF). Partnerships with…
- 17 Jun 2025 - A devastating new report has revealed that about 30 per cent of medicines circulating in Africa are falsified, with rates soaring to 60-80 per cent in conflict-affected regions. The study, “Securing the Medicine Distribution Network in Africa”, was…