Mabadiliko ya sera ya elimu yanatarajiwa kuwaandaa vijana katika soko la ajira
Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014, toleo la mwaka 2023, inalenga kutoa elimu na ujuzi kwa wanafunzi ili kuwaandaa kwa mahitaji ya sasa na ya baadaye katika soko la ajira na maisha kwa ujumla kupitia uhimizaji wa elimu ya ujuzi kuliko kutegemea taaluma pekee.
Prof Carolyne Nondo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia amesema mabadiliko ya sera hiyo yanatarajiwa kuwaandaa vijana kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi pamoja na kuongeza kiwango cha elimu ya Tanzania kuwa shindani katika soko la ajira.
#sera #elimu #tanzania #soko #ajira #wanafunzi #teknolojia #waalimu #diploma #voa #voaswahili
16 Jun 2025
- The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
16 Jun 2025
- The late Albert Ojwang's father revealed details of a phone conversation with the president.
16 Jun 2025
- The drama in the county has seen some leaders who backed the motion flee.
16 Jun 2025
- The technician, who was reportedly paid Ksh.3,000 to disable the surveillance system, was remanded in Kilimani Police Station with a second suspect. Their detention follows an application by IPOA through its Assistant Director of Forensics, Paul Njihia.
16 Jun 2025
- The High Court in Isiolo issued an order stopping the impeachment of Governor Abdi Guyo pending hearing and determination of the case before it.
16 Jun 2025
- Four senior police officers charged in baby Samantha Pendo’s murder case have been granted a cash bail of Ksh.1 million shillings and two sureties of Ksh.500,000 each.
16 Jun 2025
- The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
16 Jun 2025
- It has now emerged that the late Albert Ojwang killers were paid Sh2,000 and bought alcohol before they executed the murder mission.
16 Jun 2025
- During the phone call, the Head of State assured the family that justice would be served.
16 Jun 2025
- The late Albert Ojwang's father revealed details of a phone conversation with the president.
16 Jun 2025
- Own Source revenue collection for July 2024 to March 2025
16 Jun 2025
- The County Assembly has been restrained from debating the ouster motion tabled last week.
16 Jun 2025
- The Circassian people's fight for justice and Russia's dark history