Wasomi watilia mkazo haja ya elimu dijitali vyuoni

  • | Citizen TV
    47 views

    Washikadau katika idara ya elimu wamezitaka taasisi za elimu ya juu kukumbatia mfumo mpya wa masomo kwa njia ya mtandao, Open Distance Learning - ODEL