Wakazi wengi wa mashinani wahangaishwa na funza

  • | Citizen TV
    59 views

    Wahisani watoa matibabu ya bure mashinani navakholo wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya kakamega na ile ya kitaifa kuingilia kati na kuhakikisha kuwa inasaidia kupambana na janga la funza hasa mashinani