Muungano wa wahandisi umefanya maandamano Mombasa.

  • | Citizen TV
    432 views

    Muungano wa wahandisi nchini umefanya maandamano ya amani kisiwani Mombasa mapema hii leo kuadhimisha siku ya uhandisi duniani