Miili ya watu watano waliouawa Angata Barrikoi yafanyiwa upasuaji

  • | Citizen TV
    787 views

    Miili Ya Watu Watano Waliouawa Baada Ya Maafisa Wa Polisi Kuwafyatulia Risasi Waandamani Katika Eneo Ang'ata Barrikoi Kaunti Ya Narok Imefanyiwa Upasuaji Hii Leo. Uchunguzi Huu Ukibaini Kuwa Wote Walifariki Ktokana Na Majeraha Ya Risasi Kichwani Na Kwenye Tumbo. Mashirika Ya Kutetea Haki Na Familia Sasa Zikitaka Maafisa Waliohusika Kushtakiwa.