Rais Ruto asema mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 utaimarisha maendeleo ya kiuchumi

  • | Citizen TV
    562 views

    Rais William Ruto ametetea mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 akisema ndio nguzo ya kuimarisha maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza kwenye sherehe za mwaka huu za Leba dei hapa Nairobi, Rais Ruto amesema mswada huo unatazamiwa kufungua nafasi mpya bora za uwekezaji wa Kenya