Wanahabari Nakuru wataka uchunguzi wa visa vya dhulma na ukatili dhidi ya wanahabari uharakishwe

  • | K24 Video
    36 views

    Wanahabari katika kaunti ya Nakuru wanataka uchunguzi wa visa vya dhulma na ukatili dhidi ya wanahabari uharakishwe. Zaidi ya visa kumi vimerekodiwa chini ya mwaka mmoja. Moja ya visa hivyo ni kile cha mwanahabari kupigwa risasi mara tatu wakati wa maandamano ya Gen-Z mwaka uliopit