Maafisa wanne wakuu wa NYS wakamatwa

  • | KBC Video
    204 views

    Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi leo iliwatia mbaroni maafisa wakuu wanane wa shirika la huduma ya vijana kwa taifa na wandani wao kwa madai ya mkinzano wa maslahi na matumizi mabaya ya afisi katika utoaji zabuni ya thamani ya shilingi bilioni mbili. Wanadaiwa kufanya biashara na huduma hiyo kupitia kampuni mbalimbali kati ya miaka ya kifedha ya 2019/2020 na 2024/2025

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive