WAKAZI WA GITHOGORO WAFUNGA BARABARA WAKILALAMIKIA KUKOSA UMEME

  • | K24 Video
    108 views

    Kizaazaa kilizuka kaskazini mwa jiji la Nairobi baada ya wakazi wa mtaa wa Githogoro kufunga barabara kwa muda wakilalamikia kukosa umeme kwa zaidi ya miezi mitatu. Wakazi hao wamesema juhudi zao za kuwasiliana na kampuni ya Kenya Power hazijazaa matunda.