Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameikosoa Serikali kwa kuzidi kukopa pesa

  • | Citizen TV
    624 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameikosoa serikali kwa kuzidi kukopa pesa akisema hatua hiyo itawafanya wakenya kugharamika zaidi. Akizungumza huko Weithaga Kaunti ya Murang'a, Nyoro amesema kuwa serikali inatumia kinyume na sheria pesa za ushuru wa mafuta.