Wakimbizi Dadaab na Kakuma waishi kwa wasiwasi kwa kusitishwa kwa msaada wa fedha kutoka Marekani

  • | Citizen TV
    129 views

    Zaidi ya wakimbizi laki saba katika kambi za kakuma na Daadab ambao hutegemea chakula na fedha kutoka kwa Serikali ya Marekani wako taabani baada ya kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani.