Tazama Lori lilivyolipuka

  • | BBC Swahili
    2,808 views
    Mtu mmoja amejeruhiwa huku nyumba nne zikiharibiwa baada ya lori kulipuka lilipokuwa likipita katika kitongoji cha Chicago Marekani. Dereva sasa anauguza majeraha hospitalini. #bbcswahili #marekani #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw