Dkt Willy Mutunga na kinara wa PLP Martha Karua wameishtaki serikali ya Tanzania

  • | Citizen TV
    6,835 views

    Jaji mkuu wa zamani Dakta Willy Mutunga na kinara wa PLP Martha Karua wameishtaki serikali ya Tanzania kwenye mahakama ya jumuiya ya Afrika Mashariki. Hii ni kufuatia kukamatwa kwao na kutimuliwa nchini humo mwezi jana, kwenye hatua wanayosema ilikiuka haki zao kama raia wa jumuiya hii. Aidha wanaharakati wengine wanne pia wamewasilisha kesi,