Watu watatu wapata majeraha kufuatia mlipuko wa lori ya mafuta Nakuru

  • | KBC Video
    14 views

    MLIPUKO WA LORI LA MAFUTA NAKURU

    Watu watatu wapata majeraha ya moto kufuatia mlipuko

    Mlipuko ulitokea Barnabas, Nakuru usiku wa manane

    Malori matano yaliteketea vibaya

    Barabara ya Nairobi-Nakuru ilifungwa kwa muda

    #DiraYaMagwiji

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive