Wakaazi wa maeneo yanapakana na Chemi Chemi ya Yala wataka ardhi isajiliwe kama ardhi ya jamii

  • | NTV Video
    214 views

    Wakaazi wa maeneo yanapakana na Chemi Chemi ya Yala wamesisitiza kuwa wataendelea kukaa na mwekezaji katika Chemichemi hiyo ikiwa tu kipande hicho cha ardhi kitasajiliwa kama ardhi ya jamii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya