Akina mama na wasichana wa Pokot waanza kumiliki mifugo na biashara

  • | NTV Video
    68 views

    Akina mama na wasichana wenye umri wa miaka kati ya 18–35 katika Kaunti ya Pokot Magharibi wameandika historia mpya kwa kuanza kufanya biashara, kununua na kumiliki mifugo, kufungua akaunti kwenye benki na sasa wanajitegemea na kujiimarisha kiuchumi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya