Idadi ya watu waliouawa kwenye maandamano imefika 15

  • | Citizen TV
    10,713 views

    Idadai ya watu waliouawa kwenye maandamano ya jana imefika watu 15 huku mamia wengine wakijeruhiwa kwenye maandamano ya vijana wa Gen Z kuadhimisha mwaka mmoja baada wenzao zaidi ya 60 kuuawa mwaka jana.