Twiga stars dimbani. WAFCON 2024

  • | BBC Swahili
    128 views
    Nafasi za mwisho za robo fainali ya mashindano ya kombe la mataifa ya afrika ya kinadada Wafcon zitajazwa leo, wakati kundi C litakapocheza mechi zake za mwisho. Mabingwa watetezi Afrika Kusini na Mali, ambao tayari wamefuzu robo fainali, watapambana kule mjini Oudja kubaini nani atamaliza nafasi ya kwanza na ya pili katika kundi hilo.