Kamati ya Bunge kuhusu uhasibu yadadisi kasoro za e-citizen

  • | Citizen TV
    75 views

    Ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali inaonyesha kuwa mfumo wa mtandao wa e-citizen una mianya mingi ya kupoteza pesa zizazolipwa kupitia mfumo huo. kamati ya bunge kuhusu uhasibu wa umma imeelezwa kuwa shilingi milioni 492 zililipwa kampuni ambayo haiko kwenye mkataba wa kuuda e-citizen. Kadhalika pesa nyingi zimefujwa kupitia mfumo huo