Jane ni mmoja wa wanne waliokuwa kwenye ndege

  • | Citizen TV
    15,216 views

    Familia ya Jane Omusula, nesi wa shirika la AMREF flying doctors ambaye alifariki kwenye ajali ya Alhamisi huko Mwihoko inasikitikia kifo cha ghafla cha mwanawao, ambaye wanamtaja kama aliyekuwa kiungo muhimu sana kwa familia hiyo.