Mudavadi azitaka hospitali kuwacha kupaka serikali tope

  • | NTV Video
    83 views

    Ufanisi wa SHA umeendelea kuwa mjadala mkubwa. Mkuu wa baraza la mawaziri Musalia Mudavadi amezitaka hospitali kuwacha kupaka serikali tope kwa madai kuwa serikali haijalipa pesa zao za sha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya