Viongozi wa Kiislamu Kaunti ya Kilifi waitaka baraza la SUPKEM kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja

  • | NTV Video
    25 views

    Viongozi wa Kiislamu katika Kaunti ya Kilifi wameitaka Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya (SUPKEM) kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja, wakisema mvutano wa uongozi unaoendelea unadhoofisha baraza hilo .

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya