'Nilishushwa njiani usiku wa mananene nikashambuliwa na fisi'

  • | BBC Swahili
    993 views
    Irene Mbithe, 27, maisha yake yalibadilika baada ya kushambuliwa na fisi, anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio hilo baada ya madereva wa lori kumshusha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama alipokataa kunyanyaswa kingono. Ameongea na mwandishi wa BBC Hamida Abubakar #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw