- 4,891 viewsDuration: 2:25Kampeni za Kinyanganyiro cha ubunge Mbeere North zimeendelea kupamba moto huku Naibu rais Profesa Kithure Kindiki akituma eneo hilo kumpigia debe mgombea wa UDA huku naye kinara wa DCP Rigathi Gachagua aiendelea kuuza sera za mgombea wa DP. Pande zote zikiendelea kupigania kiti hicho kinacholumbania ubabe wa siasa Mlima Kenya.